True or Nah..!! Mara baada ya kumtuhumu mkewe kupitia
mitandao ya kijamii kuwa ameisaliti ndoa yao na kuchepuka na mastaa
kadhaa wa muziki nchini Nigeria kama Dr.Sid,2 Face na manager wake ambae
pia ni mmiliki wa music label ya Mavin Music Don Jazzy,mume wa Afro-Pop
hit maker Tiwa Savage,Tinju Balogun a.k.a Tee Billz kupitia Instagram
temporary account amekanusha kuhusika na tuhuma hizo dhidi ya mkewe na
kudai kuwa his officialy account ilikua hacked (ilidurusiwa),“This is a
temporary account. My real account was hacked. #teebillz,” he wrote on
@teebillzTEMP” aliandika Tee Billz.
Tiwa Savage & Tee Billz.
Aidha alipost ujumbe mwingine na kuandika, “All the comment that was
being made are not true and are not written by me Tunji Balogun
#teebillz”.
“I am in the process of getting back my account and have contacted
the appropriate authorities.” “All this writing is so not me. Read
things I’ve written in the past, that’s not how I write,”aliongeza Tee
Billz.Hata hivyo baadhi wa magazeti ya udaku nchini Nigeria yanadai kuwa
huenda accont hiyo haikua hacked kama Billz anavyosema bali ilikua njia
ya kufikisha ujumbe wake kwa Tiwa Savage aliezaa nae mtoto mmoja.
0 comments: