Wednesday, 7 May 2014

Keisha Ajifungua Mtoto Mwingine Wa Kiume.

Keisha na nmwanae
Mwanamuziki maarufu wa Bongofleva Keisha amejifungua mtoto wa pili wa kiume juzi Jumatatu katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Kesha na mtoto wake huyo wanaendelea vizuri. Angalia picha

                                                            mtoto wa keisha
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: